Sunday, January 31, 2016

And Can it Be

The girls play a beautiful rendition of And Can It Be That I Should Gain.

Saturday, January 30, 2016

The Resurrection Argument with Gary Harbemas

Yatupasa Kushukuru Lyrics by Ambassadors of Christ. Rwanda

I tried my best to write these down, if I missed something please let me know. This has been such a blessing to me and I am very thankful for this group of wonderful brothers and sisters sharing this. Courage in Christ.


Yatupasa Kushukuru

Mtu mmoja alistaajabu sana niliposema nitamshukuru Mungu
Baada ya matatizo mengi kunipata akili yangu ikampa wasiwasi
Kwa kweli nami, ilinigharimu, kujijulisha  inipasavyo
Ila baada ya muda nikaona yapo mengi ya kunifanya nimshukuru Mungu

Yako mengi, hayajakwisha yatubidhishayo tumshukuru Mungu wetu
Japo twapita majaribu mengi bado, yapo mengi ya kushukuriwa
He ee jiunge nasi, tulisisitize jambo hili la muhimu
Yale yote tujiulizayo  mioyoni majibu anayo Mungu wetu

Ambassadors of Christ tuashukuru lakini kwa wengi hatueleweki
kutokana na mambo ya yaliotupata ili kushukuru si jambo la busara
Lakini ndugu, ukitulia, nakujiuliza ya ajali ile
Tungeweza kuangamia wote kwa pamoja asiwepo hata mmoja wa kusimulia

Majaribu kama haya yalikuweko hata kwenye siku za mababu zetu
Ila kwa yote walikuwepo mashujaa walioweza kuitetea imani yao
Tuwake Mungu,  wakati wote, kwa yote hatujitegemei
Tukiwa hai tukiwa mauti tuwake tujualo ni moja kushukuru

Nyimbo za injili

Monday, January 11, 2016

Friday, January 1, 2016

When the going gets tough, the tough keep going.

Violin practice. The tough parts are labelled and given names. So far we have Brutus, Ajax, Achilles, Marcellus and Menelaus. Keep up the good effort Anna.